Jul 21, 2016

Video:MWANAMKE ALIYE LETEWA PICHA ZA UTUPU KWENYE BOX LA ZAWADI SIKU YAKE YA HARUSI.

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE ALIYELETEWA PICHA ZAKE ZA UTUPU SIKU YA HARUSI YAKE,PICHA ALIZOPIGA NA BWANA WAKE WA ZAMANI

Jul 14, 2016

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA


http://maktaba.tetea.org/exam-results/ACSEE2015/alevel.html

Ni kweli najiuza lakini nay sio type yangu

Gigy Money amedai kuwa lisemwalo lipo kuwa yeye ni msichana anayejiuza, lakini Nay wa Mitego si mwanaume wa type yake.Wawili hao wamekuwa wakirushiana vijembe tangu Gigy amshutumu Nay kwa kutomlipa ujira wake baada ya kumtumia kama model kwenye video ya wimbo wake, Shika Adabu Yako.Nay anadai kuwa Gigy hana lolote zaidi ya kujiuza tu mjini.“Of course inawezekana najiuza lakini wapo wa kuninunua sio typeyangu yeye kwasababu dau langu mimi yeye ni kula miaka mitatu,” Gigy alimuambia mtangazaji wa Jembe FM, JJ.“Kwahiyo sikatai mtu kusema najiuza kuniita malaya au vyovyote. Na kweli mimi najiuza ndio maana yeye akaninunua mara mbili kwenye nyimbo zake sababu I am a video vixen na nipo kwaajili ya hiyo kazi. Kwahiyo najiuza of course ndio maana amefanya na mimi video mbili hajaoni watu wengine?” amehoji.“Aliniahidi hela kwenye makubaliano ndio hana pesa ya kunilipa, so sishangai kusema najiuza.”Gigy ameendelea kusisitiza kuwa anamfananisha rapper huyo na muimba mipasho na anaamini kuwa anatafuta ‘kiki’ kupitia kwake!

Why Leicester City should have let Jamie Vardy leave this summer

June, word leaked that Jamie Vardy had turned down the opportunity to move to Arsenal. The England international insteadchose to sign a new contractand stay with his Premier League-winning pals in Leicester, signing his second contract extension in about six months. His original deal, signedin February at £80,000 per week, included a £22 million release clause that Arsenal triggered with their offer. This deal reportedly includes a pay bump to £100,000 per week and likely includes either a larger release clause or no clause at all.It's a victory for Leicester to keepone of their three key contributors fromlast year's miracle. Along with Riyad Mahrez and N'Golo Kante, Vardy performed at the highest possible level last season, scoring 24 goals en route to being named Premier League player of the season. Leicester had no like-for-like replacement for the pacey striker in their teamlast year, and it was a small miracle that he stayed healthy for the vast majority of the season. It would cost £40m (if not more) to sign a striker who would be likely to perform at the level Vardy did last season.The longtime Leicester supporterin me looks at Vardy and thinks that he's irreplaceable, that Leicester can't possibly sell a player who was so integral to theteam's title run. At the same time,the sober observer in me thinks that it would have been far smarter for Leicester to sell high on their prized asset and let him leave for Arsenal. As painful as itmight be to imagine, Leicester might be better off with Vardy wearing red and white next season.Truthfully, as I think about it from Arsenal's perspective, they might also be lucky that Vardy chose to stay.It doesn't help that, like many of his teammates, Vardy failed to impress during England's disastrous Euro 2016 campaign. He did chip in the equalizer against Wales, but it was off a mishit by Wales defender Ashley Williams while Vardy was standing in an otherwise offside position.Vardy turned down Arsenal's offer and instead accepted an improved contract from Leicester; why would the Foxes have been wise to encourage Vardy to move to North London? Let's run through the reasons.2015-16 was a remarkable outlierIt would be wrong to say that Jamie Vardy was necessarily lucky last season. ESPN FC contributor Michael Caley calculatesexpected goals (xG)for each player in the Premier League based on Opta data and by those numbers, Vardy's scoring figures were right in line with expectations given the positions he was in and the shots he took. In 3,140 minutes, Vardy scored 19 goals from free play; a typical striker would have produced 18.8 xG from those same opportunities. He did get toattempt six penalties (convertingfive) -- more than 16 otherteamsin the Premier League -- but he wasn't producing impossible or unsustainable finishes on a weekly basis.At the same time, this is far morethan Vardy's ever produced. Lastyear, in 2,247 minutes over 34 matches, he scored just five goals and produced 8.0 xG. In Vardy's two years in the Championship with Leicester, he scored 20 goals over a combined63 matches. The last time he scored at this sort of rate, he wasplaying for Fleetwood Town in the Conference.There was never a point where anybody thought he was a world-class striker until the 2015-16 season. That includes Leicester, which have repeatedly signed strikers and played them ahead of Vardy. They reportedly paid £1m for Vardy, a relatively large figure for a non-league player, and then subsequently signed the likes of Chris Wood (£1.25m) and Andrej Kramaric (£9m, a club record) in the hopes of finding a younger, more gifted poacher.In the winter, Leicester were linked to speedy CSKA Moscow forward Ahmed Musa and this summer, they were able to complete a £16m deal for him. They've also spent serious sums of money on battering rams like Leonardo Ulloa (£8m) and Shinji Okazaki (£7m), who Leicester were more likely to use as lone strikers than Vardy under Nigel Pearson and who played alongside Vardy as target men inClaudio Ranieri's 4-4-2 this past season. (A mooted £20m move for Watford forward Troy Deeneywould give them another player in that style.)Vardy was able to stay on the field for the vast majority of the season, which is difficult for any striker at the Premier League level. That's not to say he avoided injuries altogether: he played on with a cracked wrist after injuring it in August againstAston Villa, and missed a match in January after undergoing groin surgery before being suspended for the end of Leicester's remarkable title run after a red card.That run of fitness is also unlikely to re-occur given his age.Age is more than just a numberAs quickly as Vardy burst onto the scene as an elite striker, he's not particularly young. By the time he made it to Leicester in 2012, he was already 25; he will turn 30 halfway through the upcoming season.That's what makes it so difficult to believe that Vardy established a new level of performance that will be likely to stick in the years to come. Aging curves in soccer are still an inexact science, but research by Caleysuggests that Premier League footballers tend to peak around 26, with a drop-off and notable decline for attacking players coming around28. Vardy just took a dramatic leapforwardat 29. Aging curves are best fits and don't explain any one player's arc, but in termsof setting future expectations, having a breakout season at 29 is different than having one at 22.There are strikers in England, especially in the past, who were able to score regularly into their thirties. Rickie Lambert had 12 and 14 goals for Southampton during his age-30 and age-31 seasons. Yakubu scored 17 times the year he turned 30. Didier Drogba led the league with29 goals during his age-31 campaign. Mark Viduka chipped in with 15 goals as he turned 31. Those examples are few and far between, though, and there's a key difference between most of those players and Vardy.

Jul 13, 2016

Jul 8, 2016

iraq shrine attack: IS kills dozens in Balad

Suicide bombers and gunmen have killedat least 35people in an attack by so-called Islamic State (IS) at a Shia shrine in the Iraqi town of Balad.At least one bomber blew himself upoutside the mausoleum of SayidMohammed bin Ali al-Hadi, which was then stormed by gunmen, reports say.Another bomber is said to have blown himself upamong fleeing worshippers.Meanwhile the death toll from Sunday's suicide bombing in Baghdad has again been raised, from 281 to 292.Amid growing public anger over the truck bombing, Iraqi Prime Minister Haider al-Abadi fired the three top security officials inBaghdad on Friday.They werethe head of Baghdad's security command, the head of interior ministry intelligence for Baghdad and the official responsible for Baghdad in the national security adviser's office.IS said five of its members had carried out the raid on thesite in Balad. The militant group follows anextreme form of Sunni Islam and often targets Shias, who it regards as apostates.About 50 people were injured in the attack,police andmedical sources said.

POLISI WANNE WAUAWA DALLAS,MAREKANI

Maafisa wanne wa polisi mjini Dallas, Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi.Maafisa wa polisi katika mji ulio katika jimbo la Texas, wanasema mauaji hayo yametekelezwa na washambuliajiwawili wa kulenga shabaha.Msako mkali unaendelea kuwasaka washambuliaji hao, mkuu wa polisi wa Dallas David Brown amesema.Maafisa wengine saba wa polisi wamejeruhiwa, Bw Brown amesema.Wawili wamefanyiwa upasuaji wa dharura na mmoja yumo katika hali mahututi.

Ufyatuaji risasi ulianza waandamanaji walipokuwa wakipitia barabara za mji na kuwafanya waandamanaji kukimbilia usalama wao.Maandamano hayo yalitokana na kuuawa kwa wanaume wawili weusi, Philando Castile jimbo la Minnesota naAlton Sterling eneo la Baton Rouge jimbo la Louisiana.

SHOGA AIPONZA CLOUDS TV

MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imetoa onyo pamoja na kuutaka uongozi wa Clouds TV kuomba radhi Watanzania kupitia taarifa zake za habari ndani ya siku tano mfululizo kuanzia leo,Adhabu hiyo imetolewa leo na kamati ya Maudhui ya TCRA, baada ya baadhi ya wananchi hususani watazamaji wa kipindi cha ‘Take One’ kilichorushwa 28 Juni mwaka huu ambacho kilidaiwa kueleza masuala ya mapenzi ya jinsia moja (Ushoga), kulalamikiwa kwamba kilikiuka maadili ya taifa.Wakati akisoma tamko la adhabu hiyo, Joseph Mapunda, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema kuwa maamuzi hayo yamefikiwa baada ya wajumbe wakamati kutafakari maelezo ya utetezi yaliyotolewa na uongozi waClouds TV.“Tumetafakari kwa kina maelezo ya utetezi yaliyotolewa na clouds tv kuhusu kipindi chake cha Take One kilichorushwa hewani tarehe 28 June 2016 ambacho kilikiuka baadhi ya kanuni za maadili ya utangazaji,” amesema Mapunda.Ameongeza kuwa “kutokana na kipindi hicho kuwakwaza pamoja na kuwasababishia usumbufu wananchi hususan watazamaji kwa kuwasilisha mada inayozungumzia masuala ya mapenzi ya jinsia moja (ushoga), Clouds TV inatakiwa kuwaomba radhi watanzania wote na watazamaji.”Amesema taarifa ya kuomba radhiitoke siku tano mfululizo katika taarifa zao za habari ya saa moja na nusu na ya saa tano usiku kuanzia siku ya kusomwa hukumu, na kwamba uthibitisho wa taarifa hizo upelekwe TCRA siku ya Jumatano tarehe 13 Julai 2016 kabla ya saa kumi jioni.“ Hatua ya pili, Clouds Tv inatakiwakurekebisha mapungufu yaliyojitokeza na kuhakikisha inazingatia kanuni zote za utangazaji nchini katika kutekeleza majukumu yake ya utangazaji,” amesema na kuongeza.“Kamati inawaonya vikali Clouds tv kwa kukiuka kanuni za huduma za utangazaji (maudhui) ya mwaka 2005, namba 5(b), 5(c), 5(d) na 15(c) 16(2) uamuzi huu umetolewa leo, haki ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi huu iko wazindani ya siku 30 tangu siku uamuzi unapotolewa.Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Clouds Media Group amesema baada ya kutafakari tamko la adhabu atatoa msimamo wake kama wataka rufaa au la.“Tunaweza tukarudi nyuma na kusema tufanye kazi ya kukata rufaa, kwa sababu tunaamini na mimi nina simamia msimamo wangu kwamba tunapoambiwa tunalinda maadili ya kitaifa, kupinga jambo lolote baya ni kulinda maadili ya kitaifa,” amesema na kuongeza.“Sasa ukiambiwa kwamba ulipinga kwa namna ya ulivyo pinga ni tofauti kidogo labda inaweza ikasaida kutengeneza mjadala mkubwa wa kujiuliza maadili tunayotakiwa kuyalinda ni yapi.”Mutahaba amesema “Lakini moja kati ya kitu tunachokiona kina utofauti ni kuna baadhi ya mambo yamezungumzwa ambayo sikumbuki kabisa kama yako kwenye kipindi, kwa hiyo sijui wamezitolea wapi.”Amesema kuwa ushoga ni tatizo na kwamba lazima alikemee na ataendelea kulikemea.“Kwa ajili ya kosa la kutaja neno shoga katika kipindi cha njia panda mwaka 2000, miaka minne iliyopita kwenye gazeti tulivyosoma neno ushoga tukatozwa faini ya mil 5, haiwezekani miaka kumi na sita inapita kutaja neno shoga kila sikumtu anapewa adhabu,” amesema

Jul 6, 2016

MAPATO BANDARINI YAONGEZEKA ZAIDI

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kupungua kwa mizigo bandarini kumeathiri si Tanzania pekee bali dunia nzima na kwamba kubanwa kwa mianya ya wizi kumesababisha kuongezeka kwa mapato kutoka Sh bil 458 Aprili mwaka huu kufikia Sh bil 517. 

Aidha, TRA imesema itaanza uhakiki wa namba za utambulisho wa mlipakodi (TIN) kutokana na kuwepo watu wenye namba mbili na wasiohakiki watalazimika kudaiwa kodi na TRA. 

Akizungumza katika mkutano na wanahabari jana, Kamishna wa TRA, Alphayo Kidata alisema upungufu huo wa mizigo bandarini umezikumba pia bandari za Beira, Msumbiji, Mombasa, Kenya na kwingineko na kusababisha mapato kupungua. 

“Lakini sisi pamoja na upungufu wa mizigo bandarini makusanyo yanazidi kuongezeka kutokana na kuzibwa mianya ya kukwepa kodi, hivyo napenda kuwapongeza wafanyakazi wote wa mamlaka na kusema kwa sasa hakuna mtu anayeweza kukwepa kodi na wale waliozoea wakae katika njia kuu,” alisema Kidata. 

Kidata alisema wananchi wanatakiwa kuwaunga mkono kwani sasa kodi inaonekana katika kufanya shughuli za serikali kama kuboresha miundombinu pamoja na kutoa elimu bure. 

Alisema TRA imefikia na kuvuka lengo la makusanyo ya kodi kwa mwaka wa fedha 2015/16 kwa kukusanya Sh trilioni 13.8 sawa na asilimia 100.04 ya lengo la kukusanya Sh trilioni 13.4 iliyokuwa imepangwa na serikali. 

Kidata alisema katika kipindi cha Juni mwaka huu, TRA imekusanya Sh trilioni 1.4 sawa na asilimia 107.83 ya lengo la kukuzanya Sh trilioni 1.3 ambapo makusanyo ya mwaka wa fedha 2015/16 ni sawa na ongezeko la asilimia 23.70 la makusanyo ya mwaka 2014/15. 

Akizungumzia mashine za kielektroniki za EFDs, Kidata alisema walipoanza utoaji mashine hizo zilikuwa 5,703 na mpaka sasa mashine 1,700 zimegawiwa kwa watumiaji na wataanza kupita duka hadi duka kuhakiki matumizi ya mashine hizo. 

Kamishna wa mapato ya ndani, Elijah Mwandumbya, alisema mwaka huu wa fedha wamejipanga kuhakikisha wanaondoa changamoto kwa mtu mmoja kuwa na TIN zaidi ya moja hivyo watafanya uhakiki.

Jul 5, 2016

TAASISI YA MARIDHIANO KUTAFUTA SULUHU KATI YA UKAWA NA NAIBU SPIKA

TAASISI ya Maridhiano inatarajia kuwasilisha ujumbe kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kuomba kuyakutanisha makundi mawili yanayosigana bungeni ili kuleta muafaka wenye tija kwa taifa.Mwenyekiti wa taasisi hiyo Sheikh Sadick Godigodi jana alisema kumeguka kwa Bunge kunakosababishwa na Kambi ya Upinzani kuona inaonewa na maamuzi ya Naibu Spika, Dk. TuliaAkson kunahitaji viongozi wa dini kuingilia kati na kupata suluhu."Tunatarajia katika Bunge lijalo litakaloanza Septemba kuwasilisha ujumbe kwa Spika ili tupewe nafasi ya kutatua mgogoro huu kwa maana wabunge wote wanatakiwa kuwepo bungeni kuwakilisha matatizo ya wananchi," alisema Sheikh Godigodi."Haiwezekani kundi moja likawa nje na jingine likaendelea, tunahitaji maridhiano ya pande zote mbili za muhimili huo.”Kambi ya Upinzani Bungeni ilisusia vikao vya Bunge la Bajeti kwa zaidi ya siku 70 kupinga kile kilichoita kuburuzwa naNaibu Spika katika uendeshaji wa chombo hicho cha kutunga sheria.Kambi hiyo, ilianza kutoka nje Mei 30 baada ya Naibu Sika kukataa hoja ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, JoshuaNassari (Chadema), ya kutaka Bunge likatize shughuli zake na kujadili hoja ya kufukuzwa kwa wanafunzi zaidi ya 700 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).Ingawa kitendo hicho cha Naibu Spika kiliwaudhi wabunge wa chama tawala (CCM) na Upinzani, kambi hiyo haikurudi ndani mpakaBunge lilipoahirishwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katikati yawiki iliyopita.Mshauri wa mambo ya kisheria nakidiplomasia wa taasisi hiyo ya Maridhiano, Agustino Matefu alisema mbali na kusuluhisha migogoro chochezi ya kidini kwa kutoa elimu sahihi kwa umma, pia wamejikita katika kusuluhisha migogoro sugu kati ya wakulima na wafugaji nchini.“Tumetoa mchango mkubwa wa kuleta suluhu ya migogoro ya ardhi baina ya wafugaji na wakulima mkoani Morogoro katikawilaya za Mvomero, Kilombero na Kilosa (na) ndio maana watanzania wanaona hali ni kama sasa imekuwa shwari,” alisema Matefu.Matefu alisema wamepata mualiko rasmi kwa uongozi wa Mkoa wa Iringa na wanatarajia kwenda huko baada ya uzinduzi rasmi wa taasisi hiyo utakaofanyika Julai 13 jijini Dar es Salaam.Katibu wa taasisi hiyo, Mchungaji Oswald Mlay alisema kuwa uzinduzi na utambulisho wa taasisi hiyo utaendana na utoaji tuzo ya amani kwa viongozi na watu mbalimbali waliojitoa kuhamasisha udumishwaji wa amani nchini.Wanaotarajiwa kupewa tuzo ni Mama Maria Nyerere kwa niaba yaHayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere ambae atatunukiwa tuzo ya Amani uasisi wa amani ya taifa.