Jul 8, 2016

iraq shrine attack: IS kills dozens in Balad

Suicide bombers and gunmen have killedat least 35people in an attack by so-called Islamic State (IS) at a Shia shrine in the Iraqi town of Balad.At least one bomber blew himself upoutside the mausoleum of SayidMohammed bin Ali al-Hadi, which was then stormed by gunmen, reports say.Another bomber is said to have blown himself upamong fleeing worshippers.Meanwhile the death toll from Sunday's suicide bombing in Baghdad has again been raised, from 281 to 292.Amid growing public anger over the truck bombing, Iraqi Prime Minister Haider al-Abadi fired the three top security officials inBaghdad on Friday.They werethe head of Baghdad's security command, the head of interior ministry intelligence for Baghdad and the official responsible for Baghdad in the national security adviser's office.IS said five of its members had carried out the raid on thesite in Balad. The militant group follows anextreme form of Sunni Islam and often targets Shias, who it regards as apostates.About 50 people were injured in the attack,police andmedical sources said.

POLISI WANNE WAUAWA DALLAS,MAREKANI

Maafisa wanne wa polisi mjini Dallas, Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi.Maafisa wa polisi katika mji ulio katika jimbo la Texas, wanasema mauaji hayo yametekelezwa na washambuliajiwawili wa kulenga shabaha.Msako mkali unaendelea kuwasaka washambuliaji hao, mkuu wa polisi wa Dallas David Brown amesema.Maafisa wengine saba wa polisi wamejeruhiwa, Bw Brown amesema.Wawili wamefanyiwa upasuaji wa dharura na mmoja yumo katika hali mahututi.

Ufyatuaji risasi ulianza waandamanaji walipokuwa wakipitia barabara za mji na kuwafanya waandamanaji kukimbilia usalama wao.Maandamano hayo yalitokana na kuuawa kwa wanaume wawili weusi, Philando Castile jimbo la Minnesota naAlton Sterling eneo la Baton Rouge jimbo la Louisiana.

SHOGA AIPONZA CLOUDS TV

MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imetoa onyo pamoja na kuutaka uongozi wa Clouds TV kuomba radhi Watanzania kupitia taarifa zake za habari ndani ya siku tano mfululizo kuanzia leo,Adhabu hiyo imetolewa leo na kamati ya Maudhui ya TCRA, baada ya baadhi ya wananchi hususani watazamaji wa kipindi cha ‘Take One’ kilichorushwa 28 Juni mwaka huu ambacho kilidaiwa kueleza masuala ya mapenzi ya jinsia moja (Ushoga), kulalamikiwa kwamba kilikiuka maadili ya taifa.Wakati akisoma tamko la adhabu hiyo, Joseph Mapunda, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema kuwa maamuzi hayo yamefikiwa baada ya wajumbe wakamati kutafakari maelezo ya utetezi yaliyotolewa na uongozi waClouds TV.“Tumetafakari kwa kina maelezo ya utetezi yaliyotolewa na clouds tv kuhusu kipindi chake cha Take One kilichorushwa hewani tarehe 28 June 2016 ambacho kilikiuka baadhi ya kanuni za maadili ya utangazaji,” amesema Mapunda.Ameongeza kuwa “kutokana na kipindi hicho kuwakwaza pamoja na kuwasababishia usumbufu wananchi hususan watazamaji kwa kuwasilisha mada inayozungumzia masuala ya mapenzi ya jinsia moja (ushoga), Clouds TV inatakiwa kuwaomba radhi watanzania wote na watazamaji.”Amesema taarifa ya kuomba radhiitoke siku tano mfululizo katika taarifa zao za habari ya saa moja na nusu na ya saa tano usiku kuanzia siku ya kusomwa hukumu, na kwamba uthibitisho wa taarifa hizo upelekwe TCRA siku ya Jumatano tarehe 13 Julai 2016 kabla ya saa kumi jioni.“ Hatua ya pili, Clouds Tv inatakiwakurekebisha mapungufu yaliyojitokeza na kuhakikisha inazingatia kanuni zote za utangazaji nchini katika kutekeleza majukumu yake ya utangazaji,” amesema na kuongeza.“Kamati inawaonya vikali Clouds tv kwa kukiuka kanuni za huduma za utangazaji (maudhui) ya mwaka 2005, namba 5(b), 5(c), 5(d) na 15(c) 16(2) uamuzi huu umetolewa leo, haki ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi huu iko wazindani ya siku 30 tangu siku uamuzi unapotolewa.Ruge Mutahaba, Mkurugenzi wa Clouds Media Group amesema baada ya kutafakari tamko la adhabu atatoa msimamo wake kama wataka rufaa au la.“Tunaweza tukarudi nyuma na kusema tufanye kazi ya kukata rufaa, kwa sababu tunaamini na mimi nina simamia msimamo wangu kwamba tunapoambiwa tunalinda maadili ya kitaifa, kupinga jambo lolote baya ni kulinda maadili ya kitaifa,” amesema na kuongeza.“Sasa ukiambiwa kwamba ulipinga kwa namna ya ulivyo pinga ni tofauti kidogo labda inaweza ikasaida kutengeneza mjadala mkubwa wa kujiuliza maadili tunayotakiwa kuyalinda ni yapi.”Mutahaba amesema “Lakini moja kati ya kitu tunachokiona kina utofauti ni kuna baadhi ya mambo yamezungumzwa ambayo sikumbuki kabisa kama yako kwenye kipindi, kwa hiyo sijui wamezitolea wapi.”Amesema kuwa ushoga ni tatizo na kwamba lazima alikemee na ataendelea kulikemea.“Kwa ajili ya kosa la kutaja neno shoga katika kipindi cha njia panda mwaka 2000, miaka minne iliyopita kwenye gazeti tulivyosoma neno ushoga tukatozwa faini ya mil 5, haiwezekani miaka kumi na sita inapita kutaja neno shoga kila sikumtu anapewa adhabu,” amesema